Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ukweli ni kwamba kuna kitu hakipo sawa, ila tunabaki na ile falsafa ya imani, lakini mengi ni ngano tu.
 
Laiti sisi african tungekua na uelewa hata robo wa hizi drama za dini tungekua mbali sanaa.
Umenikumbusha leo nilivyokuwa kanisani masomo na mahubiri ni yale yale tu miaka kumi ishirini nyuma na ndio hayo hayo miaka 10 mpaka 50 mbele, nikanisemea tu baada ya miaka 1000 sijui kama dini itakua tena sehemu ya maisha ya binadamu.
 
Waliotuletea wameanza kuachana nayo lakini sisi ndiyo kwanza tunazalisha mitume na manabii kwa maelfu kila mwaka.

Mungu Yupo na Anastahili kuabudiwa ila sina uhakika kama ni kwa utaratibu wa hizi dini za kisasa....

View attachment 2761303
Kuna sehemu nilikua nafanya kazi na wajeruy vijana hivi, walikua wakitushangaa sana sisi vijana tunatenga muda kabisa kwamba jumapili tunaenda kanisani!
Kwao kule kanisa katoliki ndio kanisa tajiri kuliko makanisa ya nchi zote duniani ila pamoja na hayo kwenda kanisani walishaacha , kwa uchache sana wanao hudhuria kanisani ni wazee walilo karibu na miaka 70
 
Umenikumbusha leo nilivyokuwa kanisani masomo na mahubiri ni yale yale tu miaka kumi ishirini nyuma na ndio hayo hayo miaka 10 mpaka 50 mbele, nikanisemea tu baada ya miaka 1000 sijui kama dini itakua tena sehemu ya maisha ya binadamu.
Huku wametukamata hatuchomoi na kikwazo kikuu ni utumwa wa kifikra.Hatuko huru kuwaza mbele au tofauti na dini tulizokua nazo.

Kumbe dini ni dini na Mungu ni Mungu.

Hapo kabla nilivyoanza kazi nilikua na hari sanaa ya kujua habari za ibrahim na uzao wake (asili ya kazi nakutana na mataifa tofautofauti).

Wa israel nakutanao wengi tuu kwa mara ya kwanza( wanaoishi sehemu tofauti tofauti duniani)ila hawa walitokea jerusalem nilifurahi sanaa nikasema nimekutana na ndg zake Yesu kuuliza kila mtu na majibu yake,wengine hawamjui, wengine n wa hebrew,wengine wanadai hajawai kuja messiah wao wanamsubiri,wengine wanafuata torati la Musa.
Mpaka nmefikia conclusion niliwaoji wengi sanaa niliofanikiwa kukutana nao.Mi nikaitimisha kuna taasisi (dini) alafu kuna Mungu.
 
njia sahihi nnayopendekeza ni kuachana na dini kabisa

hata hao wazungu dini ya ukristo sio ya kwao walisambaziwa

kama mungu angekuwepo basi angeondoa hizi sintofahamu
Kuna vitu viwili dini na Mungu ila sisi tumeaminishwa Mungu anapatikana ndani ya dini tuu.

Au wewe labda hauamini kwamba kuna mkuu mwenye mamlaka,m niko tofauti naamini yupo na nafuata amri kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…