Kondomu (1640 CE) iliyotengenezwa kwa 'utumbo wa Nguruwe', ilipatikana wakati wa uchimbaji wa kiakiolojia katika jiji la Lund, Uswidi. Inachukuliwa kuwa kielelezo kongwe zaidi cha kondomu ulimwenguni.
Ilikuja na mwongozo wa watumiaji ambao uliagiza wavulana kuichovya kwenye maziwa ambayo hayajachemshwa, kabla ya matumizi ili kuzuia magonjwa wakati wa kulala na makahaba. Pia inaweza kutumika tena, kuosha na tena kuwekwa (kulowekwa) katika bakuli la maziwa yasiyochemshwa kwa masaa 6-8, kisha kutumika tena.
Blogu:
https://bio.link/museumofrtifactsView attachment 2757618
Sent using
Jamii Forums mobile app