Halafu hii kupangiwa kazi nyingine naona haijakaa sawa kabisa. Ndio maana unakuta mashirika karibia yote ufanisi almost sufuri, wanazungushana tu hata huko anakoenda hakuna la maana anafanya. Akiharibu huku anapelekwa kule etc ni kama wanabadilishana vibobo vya asali tu!Huku nilipo hata leo Maharage amefanya yake wakati anaaga [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2759204
Hiyo inaitwa mikoba[emoji16]Ndiyo maana huwa hawawezi kuacha. Na ni lazima amrithishe mtu. Huwezi kufa na uchawi wako hivi hivi tu!