Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,866
- 37,730
Hili nimetoka kujiuliza leo, ni vipi hawa wenzetu wasio amini katika abrahamic religion wako na mafanikio ya kiasi chake around of world, Sisi kila leo tunalia na kuomba na kukesha kwenye makanisa tunaambulia maumivu kuzidi na kuzidi!!