Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_16952860811077876.jpg
 
Hypertension (Blood Pressure) sasa hivi inaua mpaka vijana wa miaka 35. Hata sijui tatizo ni nini.

Men, please check your BP, sugar and cholesterol. Let's try not to die early for these well known causes. Acha tufe kwa stress tunazopewa na wake zetu lakini siyo kwa hizi sababu za wazi na zinazojulikana 🙏🏿

View attachment 2758380View attachment 2758381View attachment 2758382View attachment 2758383View attachment 2758384View attachment 2758385
tanzania's biggest killer

I lost my dad to this
 
tanzania's biggest killer

I lost my dad to this
Pole sana...Mzee wako apumzike salama.

Kuna trend sasa kwa wanaume hata kabla hawajagonga 40 huyoo acute hypertension mtu mnaongea leo kesho unasikia amezima tu ghafla kisa BP. Hata sijui tatizo ni nini. Juhudi za makusudi zinahitajika aisee. Na inabidi tubadili mfumo wetu wa maisha
 
Pole sana...Mzee wako apumzike salama. Na kwa vile we ni atheist hakuna hata matumaini ya kukutana naye tena 😭

➡️➡️➡️ Hata mimi classmates wangu wanadondoka kama mchwa. Mpaka inatisha yaani japo kwa sisi wazee BP ni kawaida na inategemewa. Kuna trend sasa kwa wanaume hata kabla hawajagonga 40 huyoo acute hypertension mtu mnaongea leo kesho unasikia amezima tu ghafla kisa BP. Hata sijui tatizo ni nini. Juhudi za makusudi zinahitajika aisee. Na inabidi tubadili mfumo wetu wa maisha
pombe, nyama choma tamu sana

ngumu sana kujizuia

na mazoezi ni kipengele
 
Pole sana...Mzee wako apumzike salama. Na kwa vile we ni atheist hakuna hata matumaini ya kukutana naye tena

Hata mimi classmates wangu wanadondoka kama mchwa. Mpaka inatisha yaani japo kwa sisi wazee BP ni kawaida na inategemewa. Kuna trend sasa kwa wanaume hata kabla hawajagonga 40 huyoo acute hypertension mtu mnaongea leo kesho unasikia amezima tu ghafla kisa BP. Hata sijui tatizo ni nini. Juhudi za makusudi zinahitajika aisee. Na inabidi tubadili mfumo wetu wa maisha
Tuache nini mkuu katika kula na kunywa?
 
pombe, nyama choma tamu sana

ngumu sana kujizuia

na mazoezi ni kipengele
Na nyie mabaharia wengine hamna vifua. Mkipigwa chini huko na pisi zenu za Chuga basi mawazo kibao msongo wa mawazo Cortisol levels za juu mpaka mnajipa presha....Muwe na vifua mkipigwa chini mnapotezea tu (utafikiri rahisi!) 😁😁😁
 
Back
Top Bottom