Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1695391956832.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka miwili na zaidi sasa bila hata salamu jamani [emoji24]

Natumaini hujambo na kila kitu kiko salama. Bado uko kule kule au hatimaye ulifanikiwa kuchomoka?

Mungu Aendelee kukubariki shem. Deni langu kwako liko pale pale [emoji1545]

Shem mambo ni mengi,tushukuru tu kwa hii zawadi ya uzima[emoji1431][emoji1431]
 
Back
Top Bottom