Mpwa wangu upo jamaniAcha roho mbaya classmate 😁
Weee ni huyo uliyekula tu 🤭
Mambo mrembo....september ndioo tunaanza kuiaga hapa ohh sio baadae muanze visingizio...shauri yako.
Alafu Niko single mwez wa nne huu hauna ndugu Yako huko😂😂😂Mambo mrembo....september ndioo tunaanza kuiaga hapa ohh sio baadae muanze visingizio...shauri yako.
Wewe hamia tuu getoni kwake ndoa itakujaga ata ukiwa na miaka 70. Oh wanaume wa sasa bila kujiongeza ndoa utaisikiaga jf tuu
Tarehe 28.03.1993 ilikua jumamosi mkuu , sio jumapili !!!
Duh! Umebwagwa jamani. Njoo kwangu bby tumalizane mapema. Uniite mume nikuite mke....na jf tupotee kabisaaaAlafu Niko single mwez wa nne huu hauna ndugu Yako huko😂😂😂