Hasa wadada
Noma sanaMbaya zaidi kipoozeo awe mjamzito [emoji16][emoji16]
View attachment 2754450
Loloo 😃Analamba nini huyu jamaa[emoji181]
Alafu utakuta pisi kali inatuacha sie mahandsome wanaenda kujibebisha kwa hau mitumbo mikubwa kisa hela...fear women i tell u
Wanawake muone kuwa patience pays. Sio wee tunaishi gheto pamoja mwaka tuu kelele kibao oh mzabzab utanioa lini...shenz type!!! Tulia kwanza utumike vizuri ndio nijue ni wife material au ni msaka fursa
[emoji23][emoji23][emoji3063][emoji3063][emoji176][emoji3064]Loloo [emoji2]
Kuona wanawake in their true colours
Eti Serikali iingilie kati, yaani aishi bila kufurahisha uume wake kisa watoto.