Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
Unatamani umfate hukohuko alipo

Wanawake sio wa kuwaamini. Mnaeza do all the time analia, right after coming anaanza kukuletea story nyingine tofaut kabisa as nothing happened.
Wanatuchanganya.
Aiseee....Nyerere aliwahi pita kijijini kwetu mwaka 1975 wakati nikiwa mwenyekiti wa kijiji tena kipyaaa ndo tu kimeanzishwa!
View attachment 2754033
Hivi hawa wanawake wanoweka hizi nywele ndefu hivi, wakienda chooni huwa wanazifanyaje?!
Hao madogo watakuwa hatariKwa mujibu wa sheriaView attachment 2754073
🤣🤣Nimeiona hiyo "trash" ila kwa vile aliyeileta ni mjukuu wangu ikabidi nikaushe tu vinginevyo kingewaka wallahi 😁😁😁
View attachment 2750109