Sisi tunaochemsha nyama na kuweka kwenye friji je?Jifunze hili...
Kama una friji kuwa makini na vitu vyako unaweka humo kiafya.. Usije ukawa unakula makapi kila siku..
.
KUKU [emoji215] hukaa siku 1 mpaka 2 tu
Nyama [emoji3052] hukaa siku 3mpaka5 tu
Yogurt [emoji479] hukaa week 2 tu
Cheese [emoji893] hukaa week3mpaka4
Maziwa [emoji1636] hukaa week 1.
Mayai [emoji1639] hukaa week 3 mpaka 5,
Mboga mboga [emoji3049] ni week 2
Ndimu, limao [emoji522] week 1 mpaka 3..
.
#drkileshoView attachment 2743658
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello 🖐🖐🖐🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Hello
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Mpare kuuziwa sambusa zenye makande kuna tatizo? 😳😳😳Dah!! Ila wauza Sambusa wa Moshi mtafika mbiguni mmechoka sanaaa yani nyie wakuniuzia Sambusa ndani zina makande[emoji848][emoji26]View attachment 2743680
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah!! Ila wauza Sambusa wa Moshi mtafika mbiguni mmechoka sanaaa yani nyie wakuniuzia Sambusa ndani zina makande[emoji848][emoji26]View attachment 2743680
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapare na makande bana duh!
Thawa,[emoji34]View attachment 2743097