Wanakufa pamoja maana mzunguko wao wa damu uko pamoja.Naomba kuuliza,,ni hivi hawa wanaoungana ikitokea mmoja anakuafa inakuwaje??
View attachment 2742088
Wanafurahiaga sana show ila basi tu hawatuhongi






Mwenzake huyu hapa
Dah Tomáš Rosicky ilikuwa hata ukipiga katikati ya uwanja anaweza akafunga vizuri tuhuu uzi unanichekeshaga sana
