Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,404
Papara na kukamia sana mara nyingi huwa hakusaidii 😁
Kama hawaWote hufa maana kuna viungo wanashea![]()
Akifa mmoja si ataoza. Sasa huyo mwingine atafanya nini? Hapo ukute baadhi ya mifumo yao inaingiliana. Na kwa kawaida mmoja akiumwa na mwingine anaumwa. Nitagoogle nione kama kwenye medical history kuna case ambapo mmoja alikufa na mwingine akabakia hai (kwa muda mrefu)
Sawa babu,Akifa mmoja si ataoza. Sasa huyo mwingine atafanya nini? Hapo ukute baadhi ya mifumo yao inaingiliana. Na kwa kawaida mmoja akiumwa na mwingine anaumwa. Nitagoogle nione kama kwenye medical history kuna case ambapo mmoja alikufa na mwingine akabakia hai (kwa muda mrefu)

