Mechi kichakani hiyo[emoji1787]
Mtanange huu lazima upoteze mtu angalau mmoja
Hahahahahaha, bro[emoji1787][emoji1787]Hawa sio watoto wa Jite!! Kipindi nipo pale kuna kimoja nilikuwa natoka nacho mtaani chenyewe kalikuwa o'level bahati yake tu mdomo ulikuwa umejaa maji