Hawa sio watoto wa Jite!! Kipindi nipo pale kuna kimoja nilikuwa natoka nacho mtaani chenyewe kalikuwa o'level bahati yake tu mdomo ulikuwa umejaa majiMiaka 30 haijafutwa.
View attachment 2737610
Watoto wa sikuhizi hata game la mieleka hawachezi, wao ni fifa tuKumbuka hiyo View attachment 2737617
Bro Nature sio hao tu masupastaa, hata sisi wenyewe ndugu/jamaa zetu waliotoboa huwa hawapokei simu zetu. Ni hali ya kawaida kabisa!
Awe mpole tuBro Nature sio hao tu masupastaa, hata sisi wenyewe ndugu/jamaa zetu waliotoboa huwa hawapokei simu zetu. Ni hali ya kawaida kabisa!

Ankali kumbe waachora Tatoo wanateseka hivyo


