Mabegi yenye noti za Franga pamoja dola za Marekani yamekutwa katika Ikulu ya Rais wa zamani wa Gabon aliyefurushwa madarakani hapo jana, Ali Bongo. Makachero wanaendelea kuzihesabu lakini bado hazijajulikana thamani yake kwa sababu kila wakikaribia kumaliza wanakutana na furushi jingine la noti. Hawa ndio viongozi wa Afrika wajiitao wazalendo. Halafu yakiwafika wanasema "please make noise" Kiboboru.!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.