Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Hivi kuna kurogwa na mwenye nyumba ili usihame au tu usifanikiwe? 😳
Hivi kuna kurogwa na mwenye nyumba ili usihame au tu usifanikiwe? 😳
Na hao wachache sana wanafanya nini kwa listBinafsi huwa sinaga hiyo "u-male bestie" na kuliko msichana ani friend zone ni heri urafiki ufe. If we are not banging we ain't friends. Ndio maana hata list yangu ya marafiki, wanawake wapo wachache sana.


Tuko chit chat mkuu.Thibitisha kwamba huyo ni raia wa Saudia mkuuView attachment 2728870
Wenyewe wanakwambia wanawake wenzao wambea kwahiyo wanaprefer male friendsNdiyo maana ukiona mwanamke ana msururu wa male bestie shtuka. Lazima watakuwepo watakaokuwa wanamla. Hakuna urafiki wa hivi hivi kati ya mwnaamke na mwanaume. Hakuna!

.Una maswali dah!Na hao wachache sana wanafanya nini kwa list![]()
This is trash 🚮🚮🚮Wenyewe wanakwambia wanawake wenzao wambea kwahiyo wanaprefer male friends.
Nadhani siku ya kiyama itakuwa hivi hivi dah!
Hao wachache unakuta ni ma ex na wale ambao wame agree terms and conditionsNa hao wachache sana wanafanya nini kwa list![]()

Chemsha maji. Utiemo halafu uuache kwa dakika 3 basi kwisha kazi!
Una maswali dah!
Halafu hilo li avatar libaya ndo nini?
I hope hujaipoteza ile nyingine![]()


eeh maana sijaelewa etiNi mambele huko nadhani. Unaona Mark Zuckerberg au Steve Jobs na tisheti yake ile ile kila siku lakini sasa muone mfanyakazi wa McDonald's pamba alizovaa. Na kila toleo la iPhone lazima anunue. Kumbe ananunua kwa kutumia credit card....Kama poor katoa wapi mahela yote hayo au 'poor' inayoongelewa hapo ni tofauti na ile ninayoijua mimi. Maana mimi hapa nikijiangalia kuanzia chini mpaka juu (jumlisha na pochi) sijafikia kwenye shati tu la huyo rich
Hao wachache unakuta ni ma ex na wale ambao wame agree terms and conditions![]()

kumbe hata sio marafiki... They're actually fu*kmatesItunze mahali pazuri...eeh maana sijaelewa eti
Yaani nilijikuta tu nimeichoka nikaona niipumzishe kwanza