Vituko mitandaoni. Tupia chako

Asante sana mwamba. Hapa Jf kimeongezeka na kupungua nini kwa muda takriban mwaka uliopita?
Hakuna jipya aisee. Mambo ni yale yale tu sawa na kitaa. Hapa uzi wa vituko bado kuko shwari watu wanacheka na kuondoa steresi. Kule selfika ndo kidogo kuna hekaheka kule. Kule nyumbani Binti Mpole na Jirani bado wapo japo kumedorora hatari. Vinginevyo, ni kama alivyojisemea Mfalme Sulemani. Hakuna jipya chini ya jua....
 
Ukiingia naye kwenye ugomvi jiandae kunyofolewa uume na makende yake.
Ugomvi wake na binadamu anapenda kukuwahi kwenye eneo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…