Kwa kweli kuuona ufalme wa mbingu sio kazi nyepesi[emoji16][emoji16]Hata kama hajaelewa hapo kufika mbinguni bado kugumu usimdanganye labda kama ni kipofu [emoji16] [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2723605
Kitu ambacho nilikuja kushtuka bongo, ukijifanya unaangalia kila mali unayopishana nayo utarudi nyumbani shingo inauma. Madem wengi bongo sikuhizi wazuri na wamefungasha, unakuta kidem chembamba lakini ana kitako kimeumuka[emoji1787][emoji1787]