Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

584c7db76ab9e0cc3f113b40d3adf36a.jpg
 
Kanisa latawala machozi baada ya Gigy Money kutoa ushuhuda wake, "nilizaliwa chooni"

"Mimi jina langu halisi naitwa Zawadi ila kwa sababu ya U-staa nilijibadilisha nikaitwa Gift, mimi historia yangu ya kweli nimezaliwa (Chooni), Yesu kazaliwa kwenye Boma la Ng'ombe, mama yangu amepitia wakati mgumu sana kwasababu yangu alikuwa akikosana kidogo na marafiki zake wanamwambia ( mtu mwenyewe mtoto wako umemzalia Chooni)"

"Lakini nilimwambia mama yangu kuwa naondoka, na nikirudi nyumbani wote wanaokucheka sasa hivi watakuheshimu, namuombea sana mama yangu kila siku azidi kuwa na Imani na mimi kwasababu amenipambania akiwa mwenyewe, Baba yangu sijawahi kumuona, watu wanasema wananijua lakini ukweli ni kwamba hakuna mtu anayenijua na sijawahi kuruhusu mtu anijue"- Gigy Money alipopewa nafasi ya kutoa ushuhuda kanisani kwa Prophet Malisa.

Kumbe ndio maaana....
FB_IMG_1692613507154.jpg
 
Back
Top Bottom