Mkuu kama hujaelewa hapo nakushauri sali sana wewe ni wa mbinguniTueleweshe mkuu


So many enemies...Fear of unknownView attachment 2723449
Hata kama hajaelewa hapo kufika mbinguni bado kugumu usimdanganye labda kama ni kipofu 😁 👇👇👇Mkuu kama hujaelewa hapo nakushauri sali sana wewe ni wa mbinguni![]()
Dah sasa kwenye ule uzi wa beautiful ladiesss sii tumezini na wengi sanaHata kama hajaelewa hapo kufika mbinguni bado kugumu usimdanganye labda kama ni kipofu 😁 👇👇👇
View attachment 2723605
Kuna mmoja nilimkopa milioni moja akaja kunijia juu alikula vitasa vya uhakika. Hii meme muhimu sana 😁😁😁
Dah tunapigwa sana jamani
Joyce Meyer anakwambia kwamba hata ukiona picha tu ikakuvutia tayari we ni motoni. Huwa naishiwa nguvu kabisa yaani!Dah sasa kwenye ule uzi wa beautiful ladiesss sii tumezini na wengi sana
Broiler...