Ndo kwanza watu wako tayari kuuana ili kupigania miungu yao! 🚮inasikitisha sana aisee, na watu hawashtuki tu kuona dini ni uongo
wazungu wametuweza
Nina kiatu cha hivi. Uzuri wake nikikivaa michongo yote ya kimkakati inatikiti. Yaani nakitunza balaa 😁
watamu sana.
Ndiyo maana huwa hawapelekwi msitari wa mbele. Huko hakuna kutoa ulimi ni mkong'oto tu 😁