Hata kama,si tumeshinda[emoji91][emoji91][emoji91]~ Yanga ilicheza vizuri kuliko Simba
~ Penalty hazina mwenyewe
~ Ally Salim alikuwa nje ya mstarii
~ Simba dhaifu
~ Simba wameshinda lakini hawana furahaView attachment 2719465
Sent using Jamii Forums mobile app