Kaka mkubwa nifanyaje ili nizione picha kwa jf app?
Tumia browser haina hii shida.. Ukishaifungua huko ukirudi huku inafunguka fresh tuuKaka mkubwa nifanyaje ili nizione picha kwa jf app?
Umemaanisha nikafungue thread kwenye browser halafu nirudi kwenye app?Tumia browser haina hii shida.. Ukishaifungua huko ukirudi huku inafunguka fresh tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakija kuvurugana huwezi amini kama ndio walikuwa wanaandikiana maneno kama hayo kwa public [emoji16][emoji16][emoji16]
Wasomaji tupo[emoji23],Wakija kuvurugana huwezi amini kama ndio walikuwa wanaandikiana maneno kama hayo kwa public [emoji16][emoji16][emoji16]