Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

si hupendi mifupa??
Yule anatako we usinitanie nililiona kabisa na picha ninayo.

Usione kwamba namfukuzia bure bure.

Mpaka nikuombe ujue nina mfahamu fika mwili wake ulivyo bro. Tena kadogo tu 23 bado mbichi sana akifika 30 sasa si atakuwa

😋😋😋😋 Zaidi nifanikishie mwanangu na mm nianze kuitwa baby 😆👶🤭
 
Yule anatako we usinitanie nililiona kabisa na picha ninayo.

Usione kwamba namfukuzia bure bure.

Mpaka nikuombe ujue nina mfahamu fika mwili wake ulivyo bro. Tena kadogo tu 23 bado mbichi sana akifika 30 sasa si atakuwa

😋😋😋😋 Zaidi nifanikishie mwanangu na mm nianze kuitwa baby 😆👶🤭
we jamaa....

picha za watu unazo hadi umri unawajua

shauri yako😂
 
Screenshot_20230709-212829.jpg
 
PADRI WANJIKU AFIA HOTELINI AKIFANYA NGONO NA MPENZI WAKE.

KENYA; Joseph Kariuki Wanjiku (43) aliyekuwa Padri wa kanisa katoliki, Parokia ya Mtakatifu Paulo, Jimbo kuu la Nairobi, ameripotiwa kufariki baada ya kupoteza fahamu katika hoteli moja iliyopo Kaunti ya Murang'a, alipokuwa amepumnzika na mwanamke wa miaka 32 anayetajwa kuwa mpenzi wake na mfanyakazi mwenzake parokiani.

Taarifa ya Polisi imedai kuwa wawili hao waliingia hotelini siku ya Ijumaa (Julai 7 usiku) kwa mapumnzoko, na ilipofika Julai 8 saa 8 usiku mwanamke wake alitoa taarifa kwa wahudumu wa hoteli hiyo kuwa Wanjiku alikuwa akipata kizunguzungu na kupoteza fahamu, ambapo alifariki dunia kabla ya kufikishwa Hospitalini.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa mwili wa Padri huyo ulikutwa umefunikwa nusu na shuka la kitanda cha hoteli hiyo, huku povu jeupe likitoka puani na mdomoni.View attachment 2683232View attachment 2683233

Sent using Jamii Forums mobile app
Allah atujaalie mwisho mwema 🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom