Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20230709_161411_518.jpg
 
PADRI WANJIKU AFIA HOTELINI AKIFANYA NGONO NA MPENZI WAKE.

KENYA; Joseph Kariuki Wanjiku (43) aliyekuwa Padri wa kanisa katoliki, Parokia ya Mtakatifu Paulo, Jimbo kuu la Nairobi, ameripotiwa kufariki baada ya kupoteza fahamu katika hoteli moja iliyopo Kaunti ya Murang'a, alipokuwa amepumnzika na mwanamke wa miaka 32 anayetajwa kuwa mpenzi wake na mfanyakazi mwenzake parokiani.

Taarifa ya Polisi imedai kuwa wawili hao waliingia hotelini siku ya Ijumaa (Julai 7 usiku) kwa mapumnzoko, na ilipofika Julai 8 saa 8 usiku mwanamke wake alitoa taarifa kwa wahudumu wa hoteli hiyo kuwa Wanjiku alikuwa akipata kizunguzungu na kupoteza fahamu, ambapo alifariki dunia kabla ya kufikishwa Hospitalini.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa mwili wa Padri huyo ulikutwa umefunikwa nusu na shuka la kitanda cha hoteli hiyo, huku povu jeupe likitoka puani na mdomoni.
FB_IMG_1688917448348.jpg
FB_IMG_1688917334201.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom