Mwafrika ni Mwafrika tu. Anaendeshwa na matakwa ya utumbo mpana zaidi kuliko ubongo na hafikirii cha legacy wala nini....So sad 😞
Bora Chifu Mangungo hakujua kusoma wala kuandika, ila hawa wetu wamesoma hadi Masters na PhD lakini ndiyo hakuna kitu
Ni shida sana kukosa viongozi wenye maonoMwafrika ni Mwafrika tu. Anaendeshwa na matakwa ya utumbo mpana zaidi kuliko ubongo na hafikirii cha legacy wala nini....
Mwafrika bado!
Wanafanyana apo apoNi dampo wanakuja kuzitupa hapa au shughuli huwa inafanyikia hapa hapa?
Billions and billions of babies are killed here...![]()
Nyakyusa moja hiyo 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️