Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mkiambiwa wake za watu ni sumu muwe mnaelewa. Yote haya kisa utelezi 🚮🚮🚮

Escorbio1417653329160 (61).jpeg
 
Muunganisho wa maisha marefu uliozaliwa kutokana na tamaa ya muda. Wasio na hatia wanateseka tunapoenda njia zetu tofauti. Nyumba zilizovunjika zinaonekana kuwa kawaida siku hizi. Hii sio jinsi nilivyotaka au kufikiria!!!!View attachment 2674771

Sent using Jamii Forums mobile app
Divorce sigle mamas hatari tupu. Aise tunawatesa sana hawa watoto. Kama unajijua wee mpenda mimbususu tomber tuu usilete watoto
 
Back
Top Bottom