Siyo mshangazi wa Kinyanyembe? 😁
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kama fala
Aisee, hii kali kumbe mwanetu sio mlozi.......
Siwezi kukubishia aisee 😁😁😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata jembe ambalo halijalima linajulikana
Halafu mtu anakuambia tafuta pesa