antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,006
- 133,208
Kwakweli[emoji3]
Aisee[emoji50]
Tulishaambiwa na mchumi nguli anayejua kila kitu kuwa pa kuhamia ni Burundi. Kigali unafuata pisi ama nini? 😳😳😳
Hahaha[emoji23]Tulishaambiwa na mchumi nguli anayejua kila kitu kuwa pa kuhamia ni Burundi. Kigali unafuata pisi ama nini? [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2652394View attachment 2652395
Hahahaha 😂😅😂😅
La Generali Defao wa Mwakaleli 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Mkuu tuheshimiane pulizi 😁😁😁Atakuwa ngosha tu huyu
Haki ya nani hapa Mpare hata umuambie Range Rover yake mpya 0 Km inavunjwa vioo na chokoraa hanyanyuki ng'o! 😁😁😁
Du!mambo ni mengi aisee