Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Malengo ya tozo hayakutimia. Hazina faida yo yote mbali na kushibisha matumbo ya wachache 🚮
Malengo ya tozo hayakutimia. Hazina faida yo yote mbali na kushibisha matumbo ya wachache 🚮
Wanakuwaga nazo za moto nene hatari...utafikiri hicho kitumbo ni ki-oven fulani hivi kimehifadhi joto linalotokana na mafuta yaliyorundikana hapo na kikiwa activated hilo joto linasambazwa mpaka kwenye kinu cha nyuklia...yaani uwiiii!
Kuchapiwa hakuepukiki 📌📌📌📌
Hilo tunda kuliwa mpaka ulipakae chumvi... Bila hivyo halina ladha...
Sikuwezi🥱Wanakuwaga nazo za moto nene hatari...utafikiri hicho kitumbo ni ki-oven fulani hivi kimehifadhi joto linalotokana na mafuta yaliyorundikana hapo na kikiwa activated hilo joto linasambazwa mpaka kwenye kinu cha nyuklia...yaani uwiiii!
SDY hoyeeeee! [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji91][emoji91]
View attachment 2652459
Tunachangamsha genge tu mjukuu siku ziende 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Sikuwezi🥱
Babu Kama babu[emoji23]
Hii kauli yako naipenda sana[emoji16],Kuchapiwa hakuepukiki [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Ndiyo ndiyo, maisha yenyewe haya haya[emoji16]Tunachangamsha genge tu mjukuu siku ziende [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ndiyo maana nakupendaga mimi mjukuuNdiyo ndiyo, maisha yenyewe haya haya[emoji16]
Kwani uwongo?Hii kauli yako naipenda sana[emoji16],
Kuchapiwa hakuepukiki
Unataka kusema nini mkuu? 😳😳😁😁😁Hilo tunda kuliwa mpaka ulipakae chumvi... Bila hivyo halina ladha...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Jamani kiyanda hakizai haramu[emoji16]Kwani uwongo?
Hata liharibifu Li-Foxhound linasemaga hivyo hivyo [emoji16][emoji16][emoji16]
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaNiSiriYaNdani
#UkichapiwaKausha
Maisha mafupi haya[emoji3]Ndiyo maana nakupendaga mimi mjukuu
Uko mwelewa sana!
Sababu aliyoitoa niliipenda. Ilionyesha ubinadamu wake!