Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

πŒππ–π€π˜π”ππ†π” π•πˆπ‹π‹π€π†π„
Screenshot_20230605-180806.jpg
FB_IMG_1685904564740.jpg
 
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 123, Theresia Nyirakajumba, kutoka Nchini Rwanda, amesema toka azaliwe hajawahi kuguswa na mwanaume yeyote, na sasa yupo na tumaini kuwa atampata mwanaume sahihi na ambaye atakuwa tayari kuwa naye maishani.

Ni kweli kuwa kwa sasa wanawake wenye bikra wanahesabika? Kwanini?

#MamaMia ipo hewani muda huu mpaka saa 6:00 mchana.

#MamaMia #BonyezaLink #EastAfricaRadio

Hui ni ugonjwa sio sifaView attachment 2646980

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!
She is way too old for that..
Ukifanya uzinduzi tu, anakata moto mazima
 
Back
Top Bottom