Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1685961862208.png
 
R. Kelly amevunja ukimya na kuamua kupiga show ndani ya gereza
"Hii ni njia ya kunimaliza, lakini hamtoweza kuzima muziki wangu" ni moja ya ujumbe alioutoa katika tamasha hilo lililoungwa mkono na wafungwa wenzake

Ukizumu utaona 90% ya wafungwa wa Marekani ni watu weusi.

View attachment 2612216View attachment 2612217
Bora R Kelly je Mzee wetu Cosby anaoza Tu gerezani zaidi ya Miaka 20 sasa
 
Back
Top Bottom