Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

I bet kuna wanaume watatamani kuwa mkonga wa Tembo...😅😅😅

Ila huyi Tembo anajua utalii aseeh.....!!!

Dada nae anauthubutu....

Hata kumpanda mgongoni sithuhutu, sembuse nipakatwe na mkonga wake tuu....🤪🤪🤪🤪

Kuna watu walisema, waacheni wanyama waishi maisha yao.....😃😃
Nitamtafuta tajiri aweke utalii kama huo...
wadada wakitanzania wabebwe kwenye mkonga wa tembo.... 😃😃😃😁😁😁😁
 
315cd79bcc474e17222ac99bbae076b1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom