Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1685192945187.jpg
 

I bet kuna wanaume watatamani kuwa mkonga wa Tembo...😅😅😅

Ila huyi Tembo anajua utalii aseeh.....!!!

Dada nae anauthubutu....

Hata kumpanda mgongoni sithuhutu, sembuse nipakatwe na mkonga wake tuu....🤪🤪🤪🤪

Kuna watu walisema, waacheni wanyama waishi maisha yao.....😃😃
 
Diamond Platnumz amepost picha hizo za Zari, Mama Dangote, Wema, Tanasha, Mobetto, Queen Darleen, Tiffah na Esma kisha kufunguka kwa kusema

"Happy international Women's Day ya leo Naidedicate kwa hawa Super Women wangu....Wanaake ambao wana Mchango wa kipekee kwenye Maisha yangu...wao walinifanya nikafanya kazi kwa bidii, nikapatia, nikakosea, Nikafurahi, nikalia, nikaonekana Mzuri na wakati mwingine Mbaya...lakini mwisho wa siku yote ilikuwa ni Safari yangu niloandikiwa Duniani ili inifanye kuwa mimi niitwae DIAMOND PLATNUMZ leo....kila Mwanadamu ana Mazuri na Mapungufu yake, jifunze kukubaliana na hilo na uthamni kila aliyegusa Maisha yako kwani hakuja tu kwa Bahati mbaya ni iliandikwa na Mwenyez Mungu ili ikufikishe ulipo.... Mchango wa hawa ni Mkubwa na Ndiomaana Upendo na thamani yao kwangu itabaki milele Moyoni.... Hawa ni Super Women wangu Happy International Women's day to all the #SUPERWOMEN in the World " ameandika superstar huyo

Ingawa Wema Sepetu hana undugu nae na hajazaa nae lakini kinachoonekana ni mchango wake mkubwa usioweza kusahaulika kwa Diamond kwa kumuongezea umaarufu na attention ya kazi zake wakati anaanza muziki
FB_IMG_1685509695873.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom