Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

UNAAMBIWA Huyu ndie Mariam Nabatanzi (41) Kutoka Nchini Uganda ambae anatajwa kuwa ndio Mwanamke mwenye Watoto wengi zaidi kwa sasa Duniani, Mariam mpaka sasa ameshazaa Watoto 44 na Mwanaume mmoja huku akiwa na seti 4 ya mapacha Watatu 3, seti 3 ya mapacha Wanne 4, na seti 6 ya mapacha Wawili 2 na wengine 8

Watoto hao wote 44 alijifungua alipokuwa na umri wa miaka 36 tu, Kwa Mujibu wa Wanasayansi wanasema Mariam Ana maumbile yanayomfanya atoe mayai mengi kwa mzunguko mmoja, Kati ya Hao Watoto 6 Wamefariki!! Na Kwa Sasa Amebakiza watoto 38 ambao wapo hai

Kwa Sasa ni Single Mother Baada ya Mume Wake Kumkimbia Kutokana na Kuwa na Hali hiyo ya Kujifungua watoto wengi Kwa Uzao Mmoja na Kukimbia Majukumu.

FB_IMG_1685510819395.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond Platnumz amepost picha hizo za Zari, Mama Dangote, Wema, Tanasha, Mobetto, Queen Darleen, Tiffah na Esma kisha kufunguka kwa kusema

"Happy international Women's Day ya leo Naidedicate kwa hawa Super Women wangu....Wanaake ambao wana Mchango wa kipekee kwenye Maisha yangu...wao walinifanya nikafanya kazi kwa bidii, nikapatia, nikakosea, Nikafurahi, nikalia, nikaonekana Mzuri na wakati mwingine Mbaya...lakini mwisho wa siku yote ilikuwa ni Safari yangu niloandikiwa Duniani ili inifanye kuwa mimi niitwae DIAMOND PLATNUMZ leo....kila Mwanadamu ana Mazuri na Mapungufu yake, jifunze kukubaliana na hilo na uthamni kila aliyegusa Maisha yako kwani hakuja tu kwa Bahati mbaya ni iliandikwa na Mwenyez Mungu ili ikufikishe ulipo.... Mchango wa hawa ni Mkubwa na Ndiomaana Upendo na thamani yao kwangu itabaki milele Moyoni.... Hawa ni Super Women wangu Happy International Women's day to all the #SUPERWOMEN in the World " ameandika superstar huyo

Ingawa Wema Sepetu hana undugu nae na hajazaa nae lakini kinachoonekana ni mchango wake mkubwa usioweza kusahaulika kwa Diamond kwa kumuongezea umaarufu na attention ya kazi zake wakati anaanza muzikiView attachment 2640939

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujumbe mzuri.

Ni wachache wanaoweza kushukuru hasa wakifanikiwa.
 
Well said 👌
 
Back
Top Bottom