stacia
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 752
- 1,475
😆😆😆Hahaha...
Na Ke hufikiri Me wanakinga tu mpunga kama Mvua😁
😆😆😆Hahaha...
Na Ke hufikiri Me wanakinga tu mpunga kama Mvua😁
Hii picha sijaiona kweli tinder au badoo🤔🤔🤔🤔
2025 huu mmea uhalalishwe vijana wa kitanzania waanze kuitumia rasmi. 😁😊🙃Kwani kuna aliyewakataza mkuu?
Wanashauri tu kuweka label kama kwenye sigara lakini vijana wa Chugga mtaishije bila ganja? Nyie pulizeni tu!
Napataje soft copy ya hiki kitabu?