Boya.
Likely ana mwanaume wa Dar. Ingekuwa kaolewa na ngosha wa Ng'waukoli huko au Sapiwi sasa hivi tungekuwa kwenye kesi ya kudai kurudishiwa mahari yetu....😁Dada, Kwa hivi vi menu utaua mume kwa njaa😁
Kutokuwa na mtoto ni issue nyingine, kuwa singo ni habari nyingine ila kuchakatwa na ukuni imara ni sehemu ya maisha ya mwanamke 😊.
Huyu dogo ana cheo gani huko utopolo? Anaongea halafu utopolo tupu yaani. Ndo kashikilia cheo cha Bugatti ama? 😳
Yes yes ni msemaji wao ila hajui mipaka yake anatukana hadi watu wenye umri wa baba zakeHuyu dogo ana cheo gani huko utopolo? Anaongea halafu utopolo tupu yaani. Ndo kashikilia cheo cha Bugatti ama?
View attachment 2639173
Ndiye huyu alimtukana Mgunda - mtu ambaye anaweza kuwa baba yake?Yes yes ni msemaji wao ila hajui mipaka yake anatukana hadi watu wenye umri wa baba zake
Mimi la saba d wewe msukuma nitajulia wapi hiyo site 🤣🤣🤣Boya.
Siku hizi kuna sites nyingi tu.
Unaweka haya manamba yake na inakupa jibu hapo hapo bila kuchelewa 😁
Demu gani kwanza ana gheto alafu akakupa na utamu ghetoni mwake?Elimu ya kitaa.
Haifundishwi madarasani labda ubahatishe lekchara awe mzabzab. Au nasema uwongo dadangu Joannah? 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 2639178