Kuna maisha baada ya mpiraNdiye huyu alimtukana Mgunda - mtu ambaye anaweza kuwa baba yake?
Kama ni yeye hafai kwa hiyo nafasi na anarudhalilisha Utopolo!![]()
Some time wanaume tuna vitu ndani lakini hakuna wakumwambia madawati ya jinsia yapo kwa aajili ya wanawake tu wanaume tumeachwa nyuma ukute huyu jamaa Kuna mambo mengi alivumilia akashindwa ukute huyu dada ndo wale nipige uone! Ila jamaa amezidisha.
Bila shaka hana shida pia na vikwapa na ishu zingine za usafi wa mwili...hata akiambiwa atume salamu kwa wazee wa ukoo wake halafu akute mic na vishikizi vyake haviko kwenye hali ya kuridhisha hatakuwa na tatizo wala ukinaifu....
Azuma ndio kitu gani
Sidhani kama unaweza ku-justify alichofanya. Kung'oa meno kwa nyundo na kutoboa jicho kwa bisibisi. You can't justify this...Ingekuwa ni vitasa vya kufanya settings zirudi kwenye default pengine japo napo huwa sikubaliani navyo maana unaweza kuishia kuzidisha ukajikuta umeshaua!Some time wanaume tuna vitu ndani lakini hakuna wakumwambia madawati ya jinsia yapo kwa aajili ya wanawake tu wanaume tumeachwa nyuma ukute huyu jamaa Kuna mambo mengi alivumilia akashindwa ukute huyu dada ndo wale nipige uone! Ila jamaa amezidisha.
Duh! Aise tushukuru sana.
Naona umepewa emoji ya makopa kopa. Ngoja na mimi nimuite nione nitapewa nini. Nikila dislike nakinukisha! 😁😁😁😁
Acha wivu wewe mzeeNaona umepewa emoji ya makopa kopa. Ngoja na mimi nimuite nione nitapewa nini. Nikila dislike nakinukisha!
Here we go.... Midekoooooo!![]()
