Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Nimekurupuka usiku na njaa imebidi nitafute kiporo changu!
Aahahaha poleee, uzuri wa akiba haiozi...😁.
Nimekurupuka usiku na njaa imebidi nitafute kiporo changu!
Kakiporo changu ilibidi niruke nacho asubuhiAahahaha poleee, uzuri wa akiba haiozi....
Hakuna mwanaume aliyewahi kumjulia mwanamke tusidanganyane. Nyinyi wenyewe hamjijulii mtu mwingine atawajuliaje? 😳😳😳View attachment 2638820
Do me more I keep quite...😅😅
Ila wanawake sisi banaa...😁😁
Akitokea mwanaume akatujulia mbona tunatulia...😆😆😆
Hakuna mwanaume aliyewahi kumjulia mwanamke tusidanganyane. Nyinyi wenyewe hamjijulii mtu mwingine atawajuliaje? 😳😳😳
Nadharia tu hizo bageshi lakini ukiingia kwenyewe field hata makalikyulesheni ya akina Schrödinger yakasome.....Wee msukuma acha ukorofi, sasa huon huyo dada hapo kwenye gari ameacha kuongea baada ya kuambiwa anaenda kupewa kitu anataka....
Kile kitu kinatuliza ila ukimaliza chapuo 3 bado ataanza kuongea tena maana yake ukeshe ukipiga chapuo kama unataka asiongee ongee au akae kimya....😅😅😅😅😅
Ila ndo fumbo mlilopewa wanaume, kuishi na sisi kwa namna tuende pamoja sio tushindane bali tupatane kuanzia mahaba, gharama za maisha, starehe, mapumziko, kulea watoto n.k. n.k.
Ila nimefungua darasa la kuwaelewa wanawake, kuingia bure kugraduate na hela....😁😁😁 💵😋😋😋.
Naam, Wacha ukweli usemwe😁
Dada, Kwa hivi vi menu utaua mume kwa njaa😁