Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako


Ihamishie kwenye walet yako, asipokuuliza kuwa haoni kitu chake kwenye pochi ujue kaenda kununua nyingine.

Au kanunue aina nyingine 5 muwekee, asipokuuliza kitu basi ujue umefeli kazi ya useremala...😅😅😅

Ila nawewe pochi ya mwanamke unaipekua ili uone nini?...😆😆😆
 
Hivi wanawake wa hivi inamaana wanaume hawajawahi kumfikisha kabisa, au hawajajua G spoti yake ilipo....🤔🤔🤔

Sababu pale mahala mtu akipapata akapa aparakata tumba, huwezi waza kusaga sembe wakati kuna mchi unatwanga unapata dona safiii...😋😋😋

Kutokuwa na mtoto ni issue nyingine, kuwa singo ni habari nyingine ila kuchakatwa na ukuni imara ni sehemu ya maisha ya mwanamke 😊.

Eeeh nimesahau, hivi mada inasema besdei yake anafanyia wapi...😅😅😁😁😁.
😅😅😅😅
 
IMG-20230528-WA0078.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom