Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

3
1685168770749.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uko siriazi vile 😁😁😁

Sema tu we levo za juu bana mi sikuwezi weye...

Unawezana na wa levo za juu wenzio kama yule jamaa mtata tajiri wa YuEsiEi....🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

Yaani weeweee Ngosha weeweee....

Sema tuu basi nikiandika hapa wataskrinishotiana huko na kule....

Mbona humu nimeshazushiwa wewe ni shugadadi wangu unayeniweka mjini?

Au wewe hawakwambii....😆😆😆😆😅😅😅

Msalimie mama E 😉.
 
Wow!

Just Wow!

Mama E yuko poa sana. Ameisoma hii comment yako akacheka sana.

Walimwengu!
 
Back
Top Bottom