Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,270
- 829,295
- Thread starter
- #162,181
Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke
Haiwezekani uko kitandani na BEBI wako halafu umuache tu alale wee uko busy na mtandao. Wengi wana husika hapa...
Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke


Sent using Jamii Forums mobile app