MATUMIZI MBADALA
kama huwa unatupa maganda ya mayai basi naomba leo nikupe matumizi yake, chukua maganda yako ya mayai yaloweke kwa masaa 5 mpaka 6 yakishalowa vizuri yatie kwenye blenda pamoja na maji yake, tia baking powder na usage mpaka yawe laini kisha chukua bakuli ama kontena yenye mfuniko mimina mchanganyiko wako humo halafu weka kwenye frizer kwa masaa 4 baada ya mchanganyiko wako kuganda utoe kwenye kontena au bakuli na ukautupe jalalani baada ya kula mayai peke yako ulikuwa unategemea nini kutoka kwangu
View attachment 2633985