Ubarikiwe kwa kusema ukweli mkuu 😁Hahaah! Huu mchezo wa kuchit wameanzisha wazaramo
Halafu ndiyo unakutana na CV ya Grace Mwaisaka anaomba kazi kwenye kampuni yako. Utamwajiri?
Washakata tamaa ya maisha hana cha kupotezaHalafu ndiyo unakutana na CV ya Grace Mwaisaka anaomba kazi kwenye kampuni yako. Utamwajiri?
Watu wanajisahau sana na hii mitandao na hawajui kwamba kila wanachokiandika humu hakifutiki. Na mbaya zaidi utakuta hilo ni jina lake halisi. Sad!
Wasukuma bana 🤭🤣🤣🙌
Mzee wa kupambania huyu ni wewe bila shaka😂
Wasukuma bana 🤭🤣🤣🙌
Si unajua tena kwenye 1 na 2 🤣🤣🤣🤣Tunawakubali sana ndugu zetu hamnaga baya na mtu
Ahahahaaa bado hujawaonja.....!!!??😜😜😜