Nani achukue mbibi mkuuu saivi labda kama ana hela ila hivi hivi duuh ni uongo asee mabinti wa 20-23 unamwachia nani sasaNeema Ng'asha?
Muimba gospel?
Sasa hivi ameanzisha Foundation inaitwa sijui Strong Women sijui nini kumbe....
Ila 40 bado. Anaweza kuolewa na akazaa. Tatizo labda ni huo u strong woman!
Daaah mkuuu hawa watu unawapataga wapi asee au hizi picha una download π€π€π€π€Kaa mbali na mabonge. Kahangaike na gubu, mihasira na makelele ya vimbaumbau vyako huko π¬π¬π¬
View attachment 2618548
Njia nyingine ya kupunguza muda?Nadhani itakuwa ana njia nyingine ya kupunguza muda
Anyway ni 2025 hapo wacha tujionee mambo ππππ
Daaah mkuuu hawa watu unawapataga wapi asee au hizi picha una download π€π€π€π€
Yupo dsm kweli huyu
Firauni huyu wa usipoyaona ya Musa utayaona ya Firauni? Alikuwa ni nani huyu mwamba na alifanya mambo gani?