YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
Mkuu nisaidie jina lake asee nika download picha zake google
jamii yetu mara kadhaa imekuwa imekuwa na mitazamo tofauti juu yao lakn Big Up kwa Walimu woteBila walimu hatuna taifa. Period!
Na ukitaka kujua mustakabali wa taifa wa sasa na siku zijazo angalia hadhi waliyonayo walimu katika jamii hiyo.....
wababa wengi siku hizi wamekuwa na watoto lakni hawana wake (wanawake) 🔨Sipingi 💯💯💯💯
paroko hapa sjui🤔🤔🤔🤔
Naunga mkono hoja. Hakuna hata wa kumkaribia hapo.. labda Shusho wa miaka ya nyuma sio huyu wa sasaNi Rose Muhando all the way....
(Ila cha kushangaza ni kwamba hakuna mwenye ndoa iliyosimama hata mmoja)
View attachment 2615916
Kataa ndoa ndo kimbilio 😁😁wababa wengi siku hizi wamekuwa na watoto lakni hawana wake (wanawake) 🔨
Shimba ya Buyenze mbona dislike tena mkuuuu 😳😳😳😳😁😁😁 eeeh nn shida aseee au ni "kataa ndoa"Kataa ndoa ndo kimbilio 😁😁
Sema tu app hainaga dislike ningekuongeza nyingine...kama unakataa ndoa piga punyeto achana na mabinti zetu
Hamna mkuu sio hivyo tukizalisha tunahudumia ila ndoa za kanisani na mikataba humo hatumo aseeeSema tu app hainaga dislike ningekuongeza nyingine...kama unakataa ndoa piga punyeto achana na mabinti zetu