hawa wachungaji jau sana 😂
Ndio maana sipendagi kuzozana na watu ovyo. Vichwani kwetu kuna battles za kutosha
maneno ya busara sana mzee wangu 😂Ndio maana sipendagi kuzozana na watu ovyo. Vichwani kwetu kuna battles za kutosha
Hii ni penseli ya namna gani mpaka ming'ao ya sakafu inaonyesha