Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

UAMINIFU BILA MIPAKA

Katika eneo linalofahamika kwa jina la Mizoram nchini India, asilimia kubwa ya vibanda vya kuuza mboga na matunda havina wauzaji.

Kitendo hicho kinatokana na wakazi wa eneo hilo kuamini kwamba uaminifu ni jambo muhimu zaidi katika maisha na ni nguzo yao ya kwanza.

Hivyo endapo mteja akifika kwenye kibanda chochote cha mauzo hukuta kila bidhaa imeandikwa bei yake na kujihudumia anachotaka halafu anaacha pesa na kuondoka.

Na kama wapo mteja atahitaji chenji huchukua kutoka kwa pesa zilipo juu ya meza duka na kisha huendelea na hamsini zake.

Kwa mujibu wa mmiliki mmoja wa kibanda anasema, “mfumo huu haujawahi kutuangusha tuna imani kamili kwa wateja wetu na hadi sasa hatujapoteza chochote kutoka kwa vibanda vyetu hayo.”

FB_IMG_1683442983929.jpg
 
Back
Top Bottom