Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,149
- 88,837
Embu nitumie picha zao za sasa?Big pun na fat joe 1997 hiyo
Big pun alishafariki long time sana fat joe kapungua sana huyo hapo 👇👇👇👇Embu nitumie picha zao za sasa?
Thanks.Big pun alishafariki long time sana fat joe kapungua sana huyo hapo 👇👇👇👇View attachment 2612093
Kabisa dada 📌❤️hahahaa...!!
Cuzzo kama Cuzzo...!!
Yes, ili ku cope na mabeshte wengi ni lazima uishi maisha ambayo kiukhalisia siyo yako, kwenye haya maisha ukiwa real wachache sana ile mno, ndiyo watakuwa pamoja nawe..!!