Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,380
Wanadai wameishiwa supplies...
Poa mkuu nakusubiria 🤝😀ngoja nifanye maarifa hapa
Kweli kabisa..
Mauaji hayo..Joy mi simjui!
View attachment 2610724
Duh....kazi kwelikweli.
Aisee..
🤣🤣🤣 ukitoa ugali mgumu unaambiwa leo umetupikia Kisukuma
🤣Uwezo wa kunichamba, hana.😂😂
Atapata kigugumizi tu venye nitasema Hellow.
Afu atazirai 😂😂😂
Niko njiani naenda kwa mama hapa, I can't kill myself 😂
Tulia ghetto wewe 😂😂😂Niko njiani naenda kwa mama hapa, I can't kill myself 😂
😂😂😂😂
Wacha nikasombe mchele na sabuniTulia ghetto wewe 😂😂😂
Kwanini? 🤣🤣 hao si ndio wanatuonyesha kwamba wanapendwa na kupendekeka 🤔😂😂😂😂
Sijui ni kwanini ila mtu mwenye marafiki wengi sana huwa simuamini kabisa,
😂😂😂 aibu!!Wacha nikasombe mchele na sabuni